Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KUNA WATU WANASEMA WAO WATAKUWA NI MARAIS WA WATU WOTE

Image 244.png?fit=505%2C292 KUNA WATU WANASEMA WAO WATAKUWA NI MARAIS WA WATU WOTE

Sat, 8 Aug 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Wakati Mkutano Mkuu Maalumu wa UVCCM unaendelea jijini Dodoma ukiwa ni maalumu kwa ajili ya kupitisha wabunge wa viti Maalum watakaowakilisha vijana.

Mwenye kiti wa UVCCM taifa Kheri James amesema “Kuna watu wanasema wao watakuwa ni Marais wa watu wote sio Marais wa Wanyonge, sisi tunasema tulianza kuwa Marais wa watu wote na tukawapa kipaumbele Wanyonge “

“Sisi tunaapa mbele ya Watanzania wote Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi hautokuwa wakwanza kuvunja maadili ya Uchaguzi, utakuwa wa kwanza kuyaenzi maadili ya Uchaguzi” Kheri James – M/Kiti wa UVCCM Taifa.

Chanzo: zanzibar24.co.tz