Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joshua Nassari achukua fomu ya Ubunge Arumeru Mashariki

Screenshot 2020 07 17 At 14.13.14 660x400.png Joshua Nasari

Fri, 17 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

 

Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa ticket ya CHADEMA kabla ya kuvuliwa Ubunge na Spika Job Ndugai na juzi kati kutangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge kwa mara nyingine katika Jimbo lilelile la Arumeru Mashariki.

July 08 mwaka huu wakati anatangaza kuhamia rasmi CCM, Joshua Nassari alisema >>

Chanzo: millardayo.com