Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jokate: Ofisi ya Katibu Mkuu UVCCM sio ya majungu, fitna

Wazazi Msikwepe Jukumu La Malezi Ya Watoto   Jokate Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo amesema ofisi yake haitaruhusu watu wa majungu, fitina na kupigana 'shot'.

Jokate amesema hayo jana Aprili 20, 2024 baada ya kupokewa na vijana wa CCM Zanzibar, kisha kuzungumza nao katika viwanja vya Gymkhana.

"Kama kuna watu walikuwa wamezoea kupigana majungu na mashot vijana wenzetu, kupigana fitna na kurudisha a nyuma mwisho leo," amesema Jokate.

Jokate ametaka ofisi yake itumike kwa vijana kuleta mawazo chanya na fursa za kuleta maendeleo nchini.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live