Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JPM awaka "Abood alishindwa, sipendi unafki, uje ugombe Ubunge Rostam"

Maxresdefault 44 660x400 JPM awaka "Abood alishindwa, sipendi unafki, uje ugombe Ubunge Rostam"

Fri, 12 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

“Nampenda sana Abood na jana nilimpongeza ila kwenye hili la kukaa na viwanda viwili kwa miaka 24 bila kuviendeleza, imeniuma sana, bora ROSTAM ulikaa nacho wee hiki kiwanda ila leo umekiendeleza, ila Abood alikaa navyo wee, akakopea pesa akanunua magari”-JPM akizindua kiwanda cha ngozi cha Ace Leather LTD, Morogoro

“Nampenda sana Abood na jana nilimpongeza ila kwenye hili la kukaa na viwanda viwili kwa miaka 24 bila kuviendeleza, imeniuma sana, bora ROSTAM ulikaa nacho wee hiki kiwanda ila leo umekiendeleza, ila Abood alikaa navyo wee, akakopea pesa akanunua magari”-JPM akizindua kiwanda cha ngozi cha Ace Leather LTD, Morogoro “ROSTAM nakusifu umefanya yaliyo mema, nilifikiria siku nyingine uje ugombee Ubunge hapa Morogoro umtoe Abood aliyewakosesha ajira wapiga kura wake, Abood iwe fundisho, kukaa na viwanda viwili kwa miaka 24 bila kuviendeleza hapana, Abood kwa miaka hii mitano jenga kiwanda”-JPM

Chanzo: millardayo.com