Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hotuba za Samia zinawagusa wanachadema - Lissu

B8d07dd5f22fdddb176109096cd07c59.jpeg Tundu Lissu

Fri, 31 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiongozi wa Upinzani nchini anayeishi ughaibuni, Tundu Lissu amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alimuandikia barua Rais Samia Suluhu Hassan Aprili 9 mwaka huu ambayo ilidai pamoja na mambo mengine hotuba za Rais zimekuwa zikiwagusa wanachadema.

Akizungumza kwa njia ya mtandao kwa kile alichokiita Hotuba kwa Taifa, Lissu amesema nikupitia barua hiyo aliomba viongozi wa Chadema kukutana na Rais faragha.

“Rais Samia alijibu barua hiyo ndani ya siku saba,” Tundu Lissu alisema na kuongeza kuwa Rais Samia aliahidi katika barua yake kwa Mbowe kuwa atawajulisha siku ya kukutana nao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live