“Uchumi mkubwa unakwenda sambamba na uwekezaji na katika sekta na hapa utagundua kwamba mazingira wezeshi tumeyaweka katika kodi ya makampuni ambayo tumeipunguza kutoka 30% mpaka 20% kwa Viwanda vinavyohusika na kutengeneza madawa hii itawezesha Viwanda kutengeneza dawa na kupunguza changamoto ya upatikanaji wa dawa” Humphrey Polepole, Mbunge wa Kuteuliwa na Rais.
“Uchumi mkubwa unakwenda sambamba na uwekezaji na katika sekta na hapa utagundua kwamba mazingira wezeshi tumeyaweka katika kodi ya makampuni ambayo tumeipunguza kutoka 30% mpaka 20% kwa Viwanda vinavyohusika na kutengeneza madawa hii itawezesha Viwanda kutengeneza dawa na kupunguza changamoto ya upatikanaji wa dawa” Humphrey Polepole, Mbunge wa Kuteuliwa na Rais. “Ni lazima tulinde Viwanda vya ndani kwa kuweka sera ambazo zitahakikisha bidhaa zinazoweza kuzalishwa ndani haziagizwi kutoka nje na hapa napongeza uamuzi wa Serikali kuongeza kodi katika kuingiza Sukari kutoka 25% mpaka 35% ili viwanda vya ndani viweze kuzalisha na kuuza sukari hapa Nchini” Humphrey Polepole, Mbunge wa Kuteuliwa na Rais.