Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa wenzetu CCM hawatabiriki – Mhe Edward Lowassa (+Video)

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi mara nyingi hakitabiriki na kuwaomba wananchi wa Jimbo la Kinondoni kulinda kura zao baada ya kushiriki kwenye uchaguzi kwani ndiyo njia pekee ya kuwadhibiti CCM.

Mhe. Lowassa akihutubia kwenye ufunguzi wa Kampeni Kinondoni

Mhe. Lowassa ameyasema hayo jana Jumamosi Januari 27, 2018 alipokuwa kwenye ufunguzi wa kampeni ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Kinondoni akimnadi Mgombea wa CHADEMA Salum Mwalimu. Tazama video hapa chini



 

Chanzo: bongo5.com