Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Halmashauri ni mchwa wa fedha za umma - Shigongo

SHIGONGO.jpeg Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo

Tue, 21 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameitaka Serikali kuwa na tamaduni ya kufatilia fedha za umma pindi zinapopelekwa kwenye miradi mbalimbali.

Shigongo ameyasema hayo jana Juni 20, 2022 Bungeni jijini Dodoma alipokuwa anachangia Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2022-23.

Amesema, fedha zinazopelekwa kwenye miradi hazifatiliwi, ndio maana zimekuwa zikiliwa na wajanja hususan kwenye halmashauri.

"Mheshimiwa Spika halmashauri ni mchwa wa fedha za umma, tumeona mheshimwa Awesu akitaka aoneshwe bwawa kule Tanga, tumeona Waziri Mkuu akizungumza pesa kutumika vibaya Msd," alisema Shigongo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live