Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

HATIMAE WABUNGE WA ACT WAAPISHWA

Capture 578?fit=598%2C274 HATIMAE WABUNGE WA ACT WAAPISHWA

Wed, 16 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai lamewaapisha Wabunge wa nne wa Chama cha ACT Wazalendo ambao ni Mbunge wa Mtambwe Khalifa Mohamed Issa, Mbunge wa Konde Hatibu Said Haji, Mbunge wa Wete Omar Ali Omar na Mbunge wa Chonga Salum Mohamed Shafi.

Chanzo: zanzibar24.co.tz