Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

HASHIM RUNGWE ACHUKUA FOMU YA URAIS NEC

Image 259.png?fit=632%2C394 HASHIM RUNGWE ACHUKUA FOMU YA URAIS NEC

Mon, 10 Aug 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Kiongozi wa Chama cha CHAUMA Hashim Rungwe amefika Ofisi za Tume ya Uchaguzi na kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 2020.

Kiongozi wa Chama cha CHAUMA Hashim Rungwe amefika Ofisi za Tume ya Uchaguzi na kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 2020. Rungwe ameambatana na mgombea mwenza, Mohammed Masoud. ambapo wameifikisha idadi ya vyama 11 ambavyo tayari vimechukua fomu hizo katika zoezi hilo ambalo lilioanza Agosti 05 mwaka huu na linatarajiwa kuisha Agosti 25, 2020.

Chanzo: zanzibar24.co.tz