Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

HABARI PICHA:MAPOKEZI YA JPM BAHI DODOMA

Image 452.png?fit=517%2C572 HABARI PICHA:MAPOKEZI YA JPM BAHI DODOMA

Tue, 1 Sep 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Wananchi wa mji wa Bahi mkoani Dodoma wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Shule ya msingi Bahi Sokoni ili kimsikiliza Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli ambaye atawasili muda mfupi ujao asubuhi hii kwa ajili ya kuwaomba Kura ili ili achaguliwe kwa kipindi kingine Cha miaka mitano katika Uchaguzi utakaofanyika Oktoba 28,2020 nchini kote

Chanzo: zanzibar24.co.tz