Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gwajima agoma kukalia kiti kilichoandaliwa na Kamati

Kamati Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe

Mon, 23 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka na kupewa kiti kingine kama alivyoomba.

Mbunge huyo aliwasili katika viunga vya Bunge mapema hii leo akiwa kaongozana Askari Polisi , akiitikia wito wa Spika wa Bunge, Job Ndugai uliomtaka kufika katika kamati hiyo.

Hatua hii ya bunge inakuja mara baada ya Mbunge huyo kukidhana hoja na Waziri wa Afya kuhusu utoaji wa Chanjo unaoendelea nchi nzima, hata hivyo inaelezwa kuwa kauli zalizokuwa kitoa ni za upotoshaji zenye malengo ya kupinga mchakato huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live