Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gari ya Mtangazaji Enock Bwigane yapata ajali, mmoja afariki

Maxresdefault 16 660x400 Gari ya Mtangazaji Enock Bwigane yapata ajali, mmoja afariki

Sun, 19 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Leo July 19, 2020 Gari ya Mtangazaji wa TBC Enock Bwigane ambaye pia ametangaza nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Rungwe imepata ajali na dereva wake Godwin Bakamba amefariki dunia.

Enock Bwigane amesema “gari yangu imehusika katika ajali ndugu yangu aliekuwa kama dereva wangu Godwin Bakamba amefariki dunia katika ajali iliyotokea usiku, katika tukio Mimi sikuwepo katika tukio la ajali husika’

‘Alinileta nyumbani akawa anaenda kwake ndio akapata ajali alikuwa anaelekea nyumbani kwake, tupo tunafuatilia taratibu za mwisho ili tuweze kumpuzisha leo” Enock Bwigane 

Chanzo: millardayo.com