Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fred Lowassa ashinda Ubunge Monduli (+picha )

109950382 1214586632224528 6243639389450164053 N 480x400 Fred Lowassa ashinda Ubunge Monduli (+picha )

Thu, 29 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Msimamizi wa uchaguzi katika Jimbo la Monduli amemtangaza Fredrick Lowassa wa CCM kuwa mshindi wa Jimbo hilo kwa kupata kura 72,502 sawa na asilimia 93.23% akifuatiwa na Cessilia Ndossi wa CHADEMA aliyepata kura 4,637 sawa na asilimia 5.96%, Chogga wa ACT 485 sawa asilimia 0.62% na Kijuu NRA 145 sawa asilimia 0.19%.

Msimamizi wa uchaguzi katika Jimbo la Monduli amemtangaza Fredrick Lowassa wa CCM kuwa mshindi wa Jimbo hilo kwa kupata kura 72,502 sawa na asilimia 93.23% akifuatiwa na Cessilia Ndossi wa CHADEMA aliyepata kura 4,637 sawa na asilimia 5.96%, Chogga wa ACT 485 sawa asilimia 0.62% na Kijuu NRA 145 sawa asilimia 0.19%. MBOWE ASHINDWA UBUNGE, MAFUWE AIBUKA KIDEDEA HAI

Chanzo: millardayo.com