Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ester Bulaya awaka "msinifanye mtoto, mna-copy hadi makosa, mtu asiye na mvuto sio saizi yangu" (+video)

Buaya Ester Bulaya awaka

Tue, 8 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Mgombea Ubunge kupitia Jimbo la Bunda Mjini Ester Bulaya amesema kuwa maendeleo aliyowafanyia wananchi wake ni kwa ushirikiano wa Zury Nanji maarufu (Mwanza Huduma) anashangaa CCM kumkata jina na kumpa mtu ambaye hauziki.

Mgombea Ubunge kupitia Jimbo la Bunda Mjini Ester Bulaya amesema kuwa maendeleo aliyowafanyia wananchi wake ni kwa ushirikiano wa Zury Nanji maarufu (Mwanza Huduma) anashangaa CCM kumkata jina na kumpa mtu ambaye hauziki. “CCM tafuteni kura, Wananchi wa Bunda watapiga kura, haiwezekani tuingie kwenye uchaguzi mtufanye watoto wadogo, kuna mipango ya kuhujumu kuzima ndoto za watu wa Bunda, hakuna kikao cha siri mtakachofanya nisijue hata muwe watatu” Bulaya

Chanzo: millardayo.com