Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dr. Tulia ashinda Ubunge Mbeya Mjini

Tuliapic Dr. Tulia ashinda Ubunge Mbeya Mjini

Thu, 29 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Mbeya Mjini, amemtangaza Dr. Tulia Ackson wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge kwa jimbo hilo ambaye amepata kura 75,225, akifuatiwa na Joseph Mbilinyi wa CHADEMA aliyepata kura 37,591.

Chanzo: millardayo.com