Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dr. Tulia Ackson achukua fomu kuwania tena Unaibu Spika

Screenshot 2020 11 03 At 14.42.30 660x400.png Dr. Tulia Ackson achukua fomu kuwania tena Unaibu Spika

Tue, 3 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Hizi ni picha za Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake Dr. Tulia Ackson leo akiwa Makao Makuu ya CCM Dodoma kuchukua fomu ya kuwania tena nafasi hiyo katika Bunge lijalo la 12 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Hizi ni picha za Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake Dr. Tulia Ackson leo akiwa Makao Makuu ya CCM Dodoma kuchukua fomu ya kuwania tena nafasi hiyo katika Bunge lijalo la 12 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). KUTANA NA WANACHUO WAKULIMA “TUPO WATANO, TULIAMUA KULIMA BAADA YA KUKOSA KAZI MAOFISINI”

Chanzo: millardayo.com