Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dr. Tulia Ackson achukua fomu kugombea Uspika wa Bunge

WhatsApp Image 2022 01 10 At 2.jpeg Dr. Tulia Ackson achukua fomu kugombea Uspika wa Bunge

Mon, 10 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Januari 10, 2022 Dkt. Tulia Ackson ambaye ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya USPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu msaidizi Mkuu Idara ya Organaizesheni Bw. Solomon Itunda katika Ofisi za Makao makuu ya CCM Dodoma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live