Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dkt. Tulia Ajiuzulu Unaibu Spika

Video Archive
Tue, 1 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amejiuzulu nafasi yake hiyo ya Unaibu Spika ili kugombea nafasi ya uspika wa Bunge hilo katika uchaguzi unaofanyika leo Februari 1, 2022 baada ya kupitishwa na chama chake cha CCM.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amejiuzulu nafasi yake hiyo ya Unaibu Spika ili kugombea nafasi ya uspika wa Bunge hilo katika uchaguzi unaofanyika leo Februari 1, 2022 baada ya kupitishwa na chama chake cha CCM. Wagombea 9 ambao wamekidhi matakwa ya kisheria akiwemo Dkt. Tulia wanapigiwa kura na wabunge leo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live