Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diwani akabidhi msaada vifaa vya maji Longido

Maj 0 Diwani akabidhi msaada vifaa vya maji Longido

Tue, 11 May 2021 Chanzo: ippmedia.com

"Nimekabidhi rola hizi pamoja na saruji Tani 100 ili ikasaidie ukarabati wa miundombinu mbalimbali" amesema Kool.

Aidha amewataka viongozi wao kwenda kusimama vyema miradi ya maji katika Kijiji hicho na kuepukana na ubadhirifu wa fedha za umma na zile zinazochangwa na wananchi.

Mwenyekiti wa kitongoji cha ilitilali, Paulo Lemaiba, amemshukuru diwani huyo na kusema kuwa vifaa hivyo vitakwendwa kutumika kukarabati mabomba ambayo yameharibika na mengine kuonekana chakavu kwenye mradi wa maji kitongoji hicho.

Chanzo: ippmedia.com