Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dakika 8 za Lowassa akimnadi mgombea Kinondoni “Huyu Bwana achana naye”

2095 Lowassa1 660x400

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 27, 2018 Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimefanya uzinduzi wa kampeni kwa ajili ya kumnadi mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni Salim Mwalim, miongoni mwa waliopanda katika jukwaa hilo ni Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa.



Lowassa amewataka wanachama na viongozi wa CHADEMA kuwaelekeza wapinzani wao umuhimu wa kukipigia kura CHADEMA na kuacha kumtaja mgombea wa CCM

“Kwanza nawashauri huyu msimseme sana wanini huyu, mnampa kichwa tu sasa mtu hovyo hapaswi kuchukua muda wenu kumjadili bali nachotaka tushughulike kuwaelimisha wananchi wa Kinondoni kwanini wanastahili kutupa sisi kura,”-Lowassa

“Habari ya huyu bwana tuachane naye, hawa CCM hawaeleweki kule Moshi na Korogwe tulishinda lakini wakaja kusema tumeshindwa hivyo nataka kusema saizi tujiandae kulinda kura zetu”-Lowassa 



SALIM MWALIM ALIVYOSIMAMA KATIKA JUKWAA KUOMBA KURA



Chanzo: millardayo.com