Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DK. SHEIN AZINDUA JENGO LA TERMINAL III

Capture 55.png?fit=530%2C425 DK. SHEIN AZINDUA JENGO LA TERMINAL III

Mon, 28 Sep 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein leo amefungua Jengo la uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III Uwanja huo utakua na Sehemu ya mapokezi ya abiria wanaosafiri nje kama inavyoonekani pichani ikiwa katika hadhi ya kimataifa pamoja na kuwepo kwa ngazi ya kieletroniki ambayo watakua wanatumia wananchi mbalimbali wakati wa kufanya shughuli zao.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein leo amefungua Jengo la uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III Uwanja huo utakua na Sehemu ya mapokezi ya abiria wanaosafiri nje kama inavyoonekani pichani ikiwa katika hadhi ya kimataifa pamoja na kuwepo kwa ngazi ya kieletroniki ambayo watakua wanatumia wananchi mbalimbali wakati wa kufanya shughuli zao. Sehemu ya kupakilia na kupokelea mizigo kwa njia ya kielektroniki, na mashine ya kuchunguza mizigo wakati wa kuingia kiwanjani.

Chanzo: zanzibar24.co.tz