Mon, 20 Jul 2020
Chanzo: zanzibar24.co.tz
”Wapo wanaosema Mwinyi ni mpole Mimi Nasema wataniewa nasema haya kwa sababu pengine hamjanisikia nikiongea sana kwenye vyombo vya habari Sababu kubwa ni kwamba Wizara ya Ulinzi huko mambo yetu ni ya siri hatufanyi hadharani Siwezi kusema ila kwa wale wabadhirifu,wala rushwa, wazembe, wasiowajibika, hao watawajibika.”
”Nitasimamia maslahi ya Zanzibar kwenye Muungano, Jumuiya ya Afrika Mashariki na Jumuiya za Kimataifa”
”Nikwambieni nimeamua nigombee na ili nitakaposhinda dhamira yangu ni moja kuwatumikia Wazanzibari wote”
Chanzo: zanzibar24.co.tz