Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DK. HUSSEIN AAPISHWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR

Hussein Mwinyi DK. HUSSEIN AAPISHWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR

Mon, 2 Nov 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Dkt. Hussein Mwinyi ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Awamu ya Nane wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Dkt. Hussein Mwinyi ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Awamu ya Nane wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dkt. Mwinyi ambae ni Mgomea wa Chama cha Mapinduzi CCM alitangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 27 – 28 kwa kura 380,402 sawa na 76.27% .

Chanzo: zanzibar24.co.tz