Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chongolo amkabidhi ofisi Dkt. Nchimbi

NchimbizAA8tYc.jpeg Chongolo amkabidhi ofisi Dkt. Nchimbi

Mon, 22 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi Comrade Daniel Godfrey Chongolo akimkabidhi nyaraka mbalimbali Katibu Mkuu Mpya wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ikiwa ni ishara ya makabidhiano ya nafasi hiyo katika shughuli maalum iliyofanyika Makao Makuu ya CCM White House Dodoma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live