Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama tawala chapendekeza Ruto aondolewe

Uhuru Ruto 660x400 Chama tawala chapendekeza Ruto aondolewe

Sat, 3 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Chama cha Jubilee kimependekeza Naibu Rais wa Kenya, William Ruto kuondolewa katika nafasi yake kama Naibu Kiongozi wa Chama hicho.

Katibu Mkuu wa Jubilee, Raphael Tuju amedai Ruto ni mjeuri, ana dharau na hamuheshimu Rais wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta.

Chama hicho kimemshtumu Naibu huyo kwa kujaribu kufanya Mapinduzi wakati Rais Kenyatta akiwa katika safari ya kikazi nchini Ufaransa. Uongozi umesema Ruto hataruhusiwa kuingia katika Makao Makuu ya Chama.

RAIS MAGUFULI ALIVYOTUA ZANZIBAR

Chanzo: millardayo.com