Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

‘Chagueni Mbunge mkistarehe, tatizo likitokea nipigieni nampigia Mzee’ Mtulia

2203 MTULIA19 660x400

Tue, 30 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Kampeni za uchaguzi mdogo bado zinaendelea katika Jimbo la Siha na Kinondoni Leo January 29,2019 nakusogezea Video ya Mgombea Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Said Maulid Mtulia ambaye anaendelea kunadi sera zake kwa wananchi wa Kinondoni.

“Bungeni ukivuka ukienda kwa Waziri Mkuu watu wananuna, wanaenda mbali kabisa hata ukiudhuria futari ya Spika kesi, nawaambieni nilipokuwa Mbunge sikuwa na namba ya Rais, chagueni Mbunge mkistarehe, tatizo likitokea nipigieni nampigia Mzee’– Mtulia



‘ALAMA ZA MTU MNAFKI NI TATU, NINA KUAHIDI MAMBO MATATU MWENYEKITI’ SALUM MWALIM



‘WATU WA KINONDONI TUSIFANYE MAKOSA TENA’ MGOMBEA WA CUF

Chanzo: millardayo.com