Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chadema yazidi kuwakataa wabunge viti maalumu

MDEE NA WENZAKEEE Chadema yazidi kuwakataa wabunge viti maalumu

Mon, 29 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezidi kuonyesha msimamo wake wa kuwakataa wabunge wao 19 wa viti maalumu waliotimuliwa uanachama kwa kukataa maelekezo ya vikao vya juu.

Hayo yamejiri leo Aprili 29, 2024 wakati wa maandamano yake ya amani yaliyongozwa na Tundu Lissu, makamu mwenyekiti wa chama hicho Bara, baada ya kufika kwenye eneo la Bunge.

Wafuasi wa chama hicho walisimama kwa muda mfupi na kuanza kuimba nyimbo zenye kuashiria kutowatambua wabunge wasiotambuliwa na chama hicho, lakini wanatambuliwa na Bunge.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live