Mon, 19 Jul 2021
Chanzo: ippmedia.com
Hatua hiyo imetangazwa leo jijini Mwanza na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alipozungungumza na waandishi wa habari.
Mbowe amesema mikutano ya hadhara ni haki yao kikatiba na kwamba hawatasubiri kibali cha mtu katika hilo.
Mwenyekiti huyo wa Chadema amesema wataanza kazi hiyo baada ya kufanyika Baraza Kuu la chama hicho mwishoni mwa mwezi huu jijini Mbeya.
Chanzo: ippmedia.com