Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CHAUMA KUZINDUA KAMPENI ZAKE SEPTEMBA 5

Images 3.png CHAUMA KUZINDUA KAMPENI ZAKE SEPTEMBA 5

Tue, 1 Sep 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Mgombea wa urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha CHAUMMA, Hashimu Rungwe, amesema atazindua kampeni zake Septemba 5, mwaka huu katika viwanja vya Manzese, Dar es Salaam.

Rungwe amesema wananchi wasikose kwenda kwenye uzinduzi huo kwa kuwa kutakuwa na chakula cha kutosha kwa kila atakayekwenda.

Aidha Rungwe amebainisha uzinduzi wa kampeni zake na uwapo wa ubwabwa kama ambavyo amesikika akiahidi mara kwa mara.

Alipoulizwa kuhusu uzinduzi wa ilani ya chama hicho, amesema “Ilani ya chama itazunduliwa siku hiyo katika mkutano ”Tutaweka wazi vipaumbele vyetu, wananchi waje kwa wingi bila kukosa” Hashim Rungwe.

Chanzo: zanzibar24.co.tz