Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#CCMLive: Rais Samia Kwenye Sherehe za Miaka 45 ya CCM

Video Archive
Sat, 5 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anashiriki katika maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikiwa ni miaka 45 tangu kuzaliwa kwa chama hicho. Sherehe hizo zinafanyika Mkoani Mara, leo Februari 05, 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live