Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CCM yapangua ratiba vikao Kamati Kuu

Samia Ccm Samai Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa

Wed, 19 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kitafanyika kesho Alhamisi Januari 20, 2022 katika ofisi za Makao Makuu (White House), Dodoma badala ya Januari 18, 2022 iliyokuwa imepangwa awali.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kitafanyika kesho Alhamisi Januari 20, 2022 katika ofisi za Makao Makuu (White House), Dodoma badala ya Januari 18, 2022 iliyokuwa imepangwa awali. Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Januari 19, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka imesema kuwa kikao hicho kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live