Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CCM yaibuka kidedea Mbarali

Ubunge Mbarali Kura Kura.png CCM yaibuka kidedea Mbarali

Wed, 20 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchakato wa kuhesabu kura za uchaguzi wa Jimbo la Mbarali ulioanza jana bado unaendelea hivi sasa katika ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.

Mchakato wa kuhesabu kura za uchaguzi wa Jimbo la Mbarali ulioanza jana bado unaendelea hivi sasa katika ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya. Msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Mbarali, Missana Kwangura amemtangaza Bahati Ndingo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa mshindi wa katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo, ambapo amepata kura 44, 334 dhidi ya mshindani wake wa karibu, Modestus Kilufi wa ACT - Wazalendo, aliyepata kura 10, 014.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live