Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CCM ya kijani kuzinduliwa mkoani Kagera leo

68515 CCM+pi

Sun, 28 Jul 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Bukoba. Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kimeanza kuimarisha mikakati yake kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa kuzindua kampeni ya Kagera ya kijani.

Uzinduzi huo unafanyika leo Jumamosi Julai 27, 2019 katika viwanja vya Hamugembe mjini Bukoba ambako  wanachama na viongozi kutoka wilaya zote za Mkoa wa Kagera wanaendelea kuwasili.

Pia uzinduzi huo unaoratibiwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera unatarajiwa kuwakusanya baadhi ya vigogo wa chama hicho wakiwemo wabunge na makada maarufu kutoka mikoa jirani.

 

Chanzo: mwananchi.co.tz