Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CCM mambo ni moto huko Dodoma

Mkutano CCM63b70a4977c4 780x470 CCM mambo ni moto huko Dodoma

Wed, 7 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), umeanza asubuhi hii mkoani Dodoma.

Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, akizungumza wakati wa kumkaribisha Mwenyekiti wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan alisema wajumbe wanaotakiwa kuhudhuria mkutano huo ni 1934, ambapo waliohudhuria ni 1928.

“Mahudhurio ni sawa na asilimia 99.6, ni wajumbe sita tu ambao hawajahudhuria,” alisema Chongolo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live