Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CCM KUZINDUA KAMPENI JUMAMOSI HII

Capture 344?fit=392%2C214 CCM KUZINDUA KAMPENI JUMAMOSI HII

Thu, 27 Aug 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Rais John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wamerejesha fomu zao za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Rais John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wamerejesha fomu zao za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. CCM inarajiwa kuzindua kampeni zake mkoani Dodoma siku ya Jumamosi katika uwanja wa Jamhuri.

Chanzo: zanzibar24.co.tz