Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CCM: Hakuna mpango wa kufuta Elimu Bure

Chongolo Dan Daniel Chongolo

Fri, 18 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amesema hakuna mpango wa kufuta elimu bure kwa shule za msingi na sekondari na wanafikiria kuongeza utaratibu wa elimu bila malipo kwenye ngazi za juu.

Chongolo ameyasema hayo leo Machi 18, 2022 wakati akielezea mafanikio ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Amesema kumekuwa na uzushi katika jambo hilo lakini Serikali imeendelea kulisimamia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live