Baada ya wiki tatu za vikao vya Bunge kujadili taarifa za kamati mbalimbali, kupitisha miswada pamoja na shughuli nyingine za kibunge, hatimaye Bunge hilo limeahirisha shughuli zake Ieo Ijumaa, Februari 16, 2024 hadi Aprili, 2 2024, saa tatu asubuhi.
Baada ya wiki tatu za vikao vya Bunge kujadili taarifa za kamati mbalimbali, kupitisha miswada pamoja na shughuli nyingine za kibunge, hatimaye Bunge hilo limeahirisha shughuli zake Ieo Ijumaa, Februari 16, 2024 hadi Aprili, 2 2024, saa tatu asubuhi. Hoja ya kuahirishwa kwa Bunge ilitolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na kuungwa mkono na wabunge wengi hivyo Spika kutangaza Bunge limeahirishwa hadi tarehe hiyo.