Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking: Wabunge wa CCM Wampitisha Dkt. Tulia Uspika

Tuliapicc Data Breaking: Wabunge wa CCM Wampitisha Dkt. Tulia Uspika

Mon, 31 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

KAMATi ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kikao chao (Caucus) wamempitusha Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson kuwa mgombea nafasi ya Spika wa Bunge kupitia chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika kesho Jumanne Februari 1, 2022 Bungeni jijini Dodoma.

Shughuli ya upigaji kura iliendeshwa kwa wabunge kupiga kura za ndio na hapana baada ushauri uliotolewa na Mbunge wa Mvumi, Livingstone Lusinde kukubaliwa na wabunge.

Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa CCM, Kassim Majaliwa amesema idadi ya wabunge walipiga kura walikuwa 340.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live