Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking: Tulia Ackson ateuliwa kuwania Uspika

Tulia 1 660x400 Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson

Thu, 20 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kujadili na kuchambua na kupitia orodha ya wagombea wa nafasi ya Uspika wa Bunge imemteua Dkt Tulia Ackson kuwa Mgombea wa nafasi hiyo.

Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kujadili na kuchambua na kupitia orodha ya wagombea wa nafasi ya Uspika wa Bunge imemteua Dkt Tulia Ackson kuwa Mgombea wa nafasi hiyo. Akizungumza jijini Dodoma katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza baada ya kikao hicho amesema hatua inayofuata ni jina hilo kupigiwa kura na Caucas ya wabunge wa chama hicho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live