Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bananga wa CHADEMA arudi CCM "Rais nikikukosa peponi siingii"

Bananga.jpeg Banga WA CHADEMA ahamia CCM

Sun, 17 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Ally Bananga leo October 17, 2021 mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kurejea tena Chama cha Mapinduzi (CCM).

Aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Ally Bananga leo October 17, 2021 mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kurejea tena Chama cha Mapinduzi (CCM). “Ninawashukuruni vijana wenzangu wa CCM ambao niliwasubiri mje CHADEMA lakini hamkuja na leo nimerudi nyumbani, nikikukosa peponi siingii” Bananga

Chanzo: www.tanzaniaweb.live