Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imemtia hatiani aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole sabaya na wenzake wawili Silvester Nyegu na Daniel Mbura kwa makosa mawili ya unyang’anyi wa makundi pamoja na unyang’anyi wa kutumia silaha, akisoma hukumu hiyo Hakimu Mfawidhi Mkazi Odira Amworo amesema Washtakiwa Lengai ole sabaya silvester Nyegu na Daniel Mbura walitenda kosa hilo katika duka la shahidi store linalomilikiwa na mohamed Saadi Hajirin mtaa wa bondeni jijini Arusha
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imemtia hatiani aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole sabaya na wenzake wawili Silvester Nyegu na Daniel Mbura kwa makosa mawili ya unyang’anyi wa makundi pamoja na unyang’anyi wa kutumia silaha, akisoma hukumu hiyo Hakimu Mfawidhi Mkazi Odira Amworo amesema Washtakiwa Lengai ole sabaya silvester Nyegu na Daniel Mbura walitenda kosa hilo katika duka la shahidi store linalomilikiwa na mohamed Saadi Hajirin mtaa wa bondeni jijini Arusha Hakimu amesema kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa jamhuri inaonyesha washtakiwa wote watatu akiwemo Lengai ole Sabaya,silvesta Nyegu na Daniel Mbura walikuwa kwenye duka la shahidi store linalomilikiwa na Mohamed Saadi