Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BREAKING: Rais Samia amteua Shaka nafasi hii...

Shakaakakakakaka Rais Samia amteua Shaka

Wed, 25 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Shaka Hamdu Shaka kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Morogoro.

Awali Shaka alikuwa ni Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM.

Alitenguliwa wadhifa huo ambapo nafasi hiyo ilijazwa kwa uteuzi wa Sophia Mjema ambaye ndiye anakaimu nafasi hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live