Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM

Paul Makonda Region Week Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM

Sun, 22 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Amerejea! Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM.

Taarifa iliyotolewa leo Oktoba 22, 2020 na Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Makonda ameteuliwa kwenye nafasi hiyo akichukua nafasi ya Sophia Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Wanawake, Watoto na Makundi Maalum.

Uteuzi huo umefanywa kupitia Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan.

Makonda amerejea kwenye nafasi hiyo nyeti ya chama baada ya kukaa miaka kadhaa nje ya ulingo wa siasa na uongozi wa kiserikali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live