Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BAVICHA waingilia kati sakata la Ney wa Mitego na BASATA

129870102 1976167965858018 1210596309629197704 N 660x400.jpeg BAVICHA waingilia kati sakata la Ney wa Mitego na BASATA

Thu, 6 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Siku chache baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuufungia wimbo wa ‘Mama’ wa msanii Emmanuel Elibariki maarufu Ney wa Mitego, Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) limelaani kitendo hicho kwa madai kuwa ni kuvunja Katiba kwa kuingilia uhuru wa msanii huyo katika kutoa maoni yake.

BILA KUPEPESA MACHO RAIS SAMIA ANENA “TUNAVAA BARAKOA KAMA MBUZI, CORONA NI JANGA”

Chanzo: millardayo.com