Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Awamu ya sita imepeleka huduma nyingi Serikali za Mitaa - Kigwangala

Kigwangala Pic Awamu ya sita imepeleka huduma nyingi Serikali za Mitaa - Kigwangala

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbunge wa Nzega vijijini Mhe. Dkt Hamis Kigwangala mara baada ya uwasilishwaji wa makadirio ya bajeti ya wizara TAMISEMI ameeleza kuwa bajeti iliyotangulia ya mwaka 2023-2024 imekuwa kwa manufaa makubwa kwa wananchi hasa katika Serikali za mitaa.

Bajeti hiyo maeneo mengi nchini yameweza kupata huduma za afya kwa kujengewa vituo vya afya, Shule na barabara.

OFISI ya Rais - TAMISEMI, taasisi zilizo chini yake, mikoa 26 ikijumuisha halmashauri 184 iliomba Bunge kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2024/25 yenye jumla ya shilingi trilioni 10.125.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live