Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Askofu Gwajima afanya uteuzi wa wasadizi wake

Gwajima Kolo Askofu Gwajima

Tue, 25 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

TAARIFA: Mbunge wa Jimbo la Kawe Mhe. Askofu Dkt. Josephat Gwajima katika kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi katika suala zima la michezo amewateua wafuatao kuwa wasaidizi wa Mbunge kwenye masuala ya michezo, utamaduni na sanaa.

Ndugu Ramadhani Rashid Kindamba msaidizi wa Mbunge masuala ya Michezo, utamaduni na sanaa kata ya Mabwepande

Bi. Jamila Abdallah Rajabu msaidizi wa Mbunge masuala ya Michezo utamaduni na sanaa kata ya Bunju. Uteuzi unaanza mara moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live