Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliyevunja rekodi yakuwa rubani mdogo Tanzania autaka ubunge Arusha,wengine wajitokeza

RUBAN MTOTO 660x400 Bosco Temu aliyewahi kuvunja rekodi ya Kuwa rubani Mdogo wa Kwanza Tanzaia

Fri, 17 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Wakati Mchakato wa Kuchukua Fomu za Wagombea ndani ya Chama cha Mapinduzi ukiwa bado unaendelea katika Majimbo mbali mbali Tanzania, Kijana Bosco Temu aliyewahi kuvunja rekodi ya Kuwa rubani Mdogo wa Kwanza Tanzaia amechukua fomu yakugombea ubunge jimbo la Arusha mjini

Wakati Mchakato wa Kuchukua Fomu za Wagombea ndani ya Chama cha Mapinduzi ukiwa bado unaendelea katika Majimbo mbali mbali Tanzania, Kijana Bosco Temu aliyewahi kuvunja rekodi ya Kuwa rubani Mdogo wa Kwanza Tanzaia amechukua fomu yakugombea ubunge jimbo la Arusha mjini Wakati huo huo wagombea katika nafasi mbalimbali wameendelea kujitokeza ikiwemo mtoto wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Tanzania Marehemu Meleu Mrema,Michelle Mrema ambaye anagombea ubunge mkoa wa Arusha  kupitia UVCCM,Saimon Range aliyechukua fomu yakugombea ubunge Arusha mjini pamoja na  Grace kamitima ambaye anagombea ubunge  UWT Arusha.

Chanzo: millardayo.com