Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Akawaambia mkiona Waziri anakuja Siha, Mkuu wa wilaya pasueni gari lake”-Dr Mollel

2122 Screen Shot 2018 01 28 At 1.27.47 PM 660x400.png

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Mgombea ubunge jimbo la Siha CCM Dr. Godwin Mollel amesema kwa miaka miwili alipokuwa Mbunge amefanikisha kupatikana Bilion 52 kwa ajili ya barabara Bilion 2 kwa ajili ya hospital.

Dr Mollel amezikumbushia Milion 700 kwa ajili ya Zahanati Milion 960 ujenzi wa daraja linalounganisha kata mbili pamoja na Bilion 3 kwa ajili ya barabara za ndani, Mollel amesema pamoja na ugumu alioupitia  ameweza kufanikisha kuleta maendeleo katika jimbo hilo.

“Macho yako ni balaah, shingo yako sijawahi kuona”

Chanzo: millardayo.com