Mon, 6 Sep 2021
Chanzo: millardayo.com
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood ametoa msaada wa Madawati elfu Moja yenye than zaidi ya Shilingi milioni 50 kwa Shule za Msingi zilizopo jimboni humo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood ametoa msaada wa Madawati elfu Moja yenye than zaidi ya Shilingi milioni 50 kwa Shule za Msingi zilizopo jimboni humo. Akizungumza mara baada ya kukabidhi madawati hayo Mheshimiwa Abood amesema lengo la msaada huo ni kuunga Mkono Serikali ya awamu ya sita katika kuinua taaluma.
Chanzo: millardayo.com